Corrections

Text from Psi-Lord - Kiswahili

  • Insha yangu ya kwanza katika Kiswahili

  • Hamjambo? Habari zenu?
  • Nimefuhari kukutana nanyi!
  • Jina langu Marcel.
  • Mimi ni Mbrazil.
  • Ninaishi magharibi ya jimbo la Sao Paulo.
  • Nina umri wa miaka thelathini na minane.
  • Mimi ni mtumishi wa umma — ninafanya kazi ya katibu shule.
  • Nimeoa na tuna wana wawili; wote ni wavulana.
  • Aidha tuna paka watatu na samaki mmoja.
  • Napenda kujifunza lugha ya kigeni.
  • Lugha yangu ya asili ni Kireno na ninasema Kiingereza pia.
  • Nimekuwa nikijifunza Kiswahili peke jangu kwa majuma matatu.
  • Ni lugha ya kuvutia! Kwa herini!

PLEASE, HELP TO CORRECT EACH SENTENCE! - Kiswahili