Hujambo!
Mimi ninaitwa Rose.
Ninapenda kujifunza lugha.
Ninajifunza Kiswahili, Kizulu, Kiingereza, Kihispania, Kisabia na Kijeremani.
Ninafanya kazi maktabani na ninasoma katika UW-Madison.
Ninasoma isimu ya lugha na masomo ya Afrika.
Rafiki yangu anaitwa Eva.
Eva anatoka Madison, Wisconsin lakini sasa anakaa Zanzibar.
Eva anasoma Kiingereza na Kiswahili.
Eva ana mume katika Mombasa.
Nina mtoto mmoja anaitwa Sophia.
Sophia anasoma Kijeremani na Kiingereza.
Mpenzi yangu anatoka Ujerumani na yeye anasoma Kijeremani, Kirusi na Kiingereza.
Shule yangu anaanza wiki ijayo.
Ninafurahi kwa sababu ninapenda kwenda za shule.
Kwa heri na kuonana!