Nhờ sửa bài giúp

Giúp sửa lỗi ngay!Không quan tâm

Văn bản từ andirose1216 - Kiswahili

  • Kuhusi Mimi

  • Hujambo!
  • Mimi ninaitwa Rose.
  • Ninapenda kujifunza lugha.
  • Ninajifunza Kiswahili, Kizulu, Kiingereza, Kihispania, Kisabia na Kijeremani.
  • Ninafanya kazi maktabani na ninasoma katika UW-Madison.
  • Ninasoma isimu ya lugha na masomo ya Afrika.
  • Rafiki yangu anaitwa Eva.
  • Eva anatoka Madison, Wisconsin lakini sasa anakaa Zanzibar.
  • Eva anasoma Kiingereza na Kiswahili.
  • Eva ana mume katika Mombasa.
  • Nina mtoto mmoja anaitwa Sophia.
  • Sophia anasoma Kijeremani na Kiingereza.
  • Mpenzi yangu anatoka Ujerumani na yeye anasoma Kijeremani, Kirusi na Kiingereza.
  • Shule yangu anaanza wiki ijayo.
  • Ninafurahi kwa sababu ninapenda kwenda za shule.
  • Kwa heri na kuonana!

Xin hãy chỉnh sửa từng câu giúp tôi! - Kiswahili